Kutafuta usawa kwa kila mtu: Hali ya ubinadamu kuhusu uchimbaji madini ya dhahabu

Project materials (non-specific)
, 16 pages
PDF (670.99 KB)
16606KIIED.pdf
Language:
English, Swahili
Published: November 2015
Area(s):
Product code:16606IIED

Utawapata watu wa hali tofauti katika eneo lolote la uchimbaji madini ya dhahabu. Kwa kuwaangalia tu, wanaweza kuonekana tofauti — wanatumia zana tofauti, wanafanya kazi katika hali tofauti, na wanafanya kazi chini ya sheria tofauti. Endapo utaamini wanayosema wanahabari, huenda ukaamini kwamba tofauti~zao ndio utambulisho wao, na kwamba hali yao inahusu mgogoro, uchafuzi wa mazingira na unyanyasaji.

Lakini ukiangalia vizuri utapata kuwa wana mambo mengi yanayowaunganisha zaidi ya ulivyowadhania, na kwamba hali yao ni ya muungano wa ubinadamu, maadili ya pamoja na matumaini ya umoja ya maisha mema.

Ili ielewe vizuri kuhusu watu wote wanaotegemea uchimbaji madini ya dhahabu, IIED ilizuru nchi ya Tanzania ili izungumze na baadhi yao. Kitabu hiki cha picha kinasimulia baadhi ya hali zao. Maonyesho haya yalifadhiliwa na Wakfu wa Ford.

Cite this publication

(2015). Kutafuta usawa kwa kila mtu: Hali ya ubinadamu kuhusu uchimbaji madini ya dhahabu. .
Available at https://www.iied.org/sw/16606kiied