iied
iied

Publications

Browse themes
About publications

Information for 16606KIIED

Kutafuta usawa kwa kila mtu: Hali ya ubinadamu kuhusu uchimbaji madini ya dhahabu

IIED

Project material, 16 pages

Utawapata watu wa hali tofauti katika eneo lolote la uchimbaji madini ya dhahabu. Kwa kuwaangalia tu, wanaweza kuonekana tofauti — wanatumia zana tofauti, wanafanya kazi katika hali tofauti, na wanafanya kazi chini ya sheria tofauti. Endapo utaamini wanayosema wanahabari, huenda ukaamini kwamba tofauti
zao ndio utambulisho wao, na kwamba hali yao inahusu mgogoro, uchafuzi wa mazingira na unyanyasaji.

Lakini ukiangalia vizuri utapata kuwa wana mambo mengi yanayowaunganisha zaidi ya ulivyowadhania, na kwamba hali yao ni ya muungano wa ubinadamu, maadili ya pamoja na matumaini ya umoja ya maisha mema.

Ili ielewe vizuri kuhusu watu wote wanaotegemea uchimbaji madini ya dhahabu, IIED ilizuru nchi ya Tanzania ili izungumze na baadhi yao. Kitabu hiki cha picha kinasimulia baadhi ya hali zao. Maonyesho haya yalifadhiliwa na Wakfu wa Ford.

Offsite Links

Link to other web page:

Publication information

Download and Sharing

Free PDF 670k

Share with your network:

We use cookies to help improve this website. Clicking any link on this site will be taken as your consent to this.